JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

EWURA yazawadia wahitimu bora Chuo cha cha Maji

Na Mwandishi Wetu Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imewazawadia wahitimu wawili bora wa Chuo cha Maji, Florence Theonist na Emmanuel Nyaki, kompyuta mpakato na fedha taslimu shilingi milioni sita (milioni 3 kwa kila mmoja) kama…

Mwili wa marehemu Lawrance Mafuru wawasili viwanja vya Karimjee Dar

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefika Karimjee kuongoza waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Lawrence Mafuru, aliyekuwa karibu na Mtendaji wa Timu ya Mipango kabla ya kifo chake. Lawrence Mafuru alifariki dunia akiwa nchini India, ambako alikuwa akipatiwa matibabu….

Jela miaka 30 kwa kubaka mtoto

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Igunga Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora imemuhukumu Hamisi Ndari (33) mkazi wa kitongoji cha Mizanza, Kata ya Sungwizi kutumikia adhabu ya kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kupatikana na kosa…

Rais Dkt. Samia kufungua mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini 2024

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika sekta ya madini mwaka 2024 utakaofanyika kuanzia Novemba 19 hadi 21,…

Maendeleo uwekezaji mradi wa Liganga na Mchumba

*Utazalisha tani 219 za Chuma *Tani 175,400 za Titanium *Tani 5000 za Vanadium Wakati Serikali ikiendelea na jitihada mbalimbali za kutafuta mwekezaji wa mradi wa Liganga na Mchuchuma uliopo wilaya ya Ludewa mkoani Njombe,Tanzania inatarajiwa kuwa mzalishaji mkubwa wa madini…

TAKUKURU Pwani yazuia michango isiyofikishwa katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Pwani, kwa kipindi cha Julai hadi Septemba, 2024 imefanikiwa kuzuia mfumo wa ukusanyaji wa michango ya waajiri ambao wamekuwa hawapeleki michango ya waajiriwa wao katika…