JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

NIC yazindua msimu wa Pili wa ‘NIC Kitaa’

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKA la Taifa la Bima (NIC) imezindua msimu wa pili wa Kampeni ya ‘NIC KITAA’ yenye lengo la kutoa elimu ya Bima kwa watanzania ili waelewe faida na muhimu wake. Akizungumza wakati wa…

CAMFED Tanzania yawasaidia wasichana 509,033 kupata Elimu ya Msingi, Sekondari

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKA lisilo la kiserikali la ufadhili wa masomo kwa watoto wa kike wanaoishi katika mazingira magumu (CAMFED Tanzania) limesema kuwa hadi sasa limeshawasaidia jumla ya wasichana 509,033 kupata elimu ya Msingi na Sekondari….

Majaliwa mgeni rasmi mkutano wa maendeleo ya biashara na uchumi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, anatarajiwa kufungua mkutano wa Tano wa Biashara na Maendeleo ya Kiuchumi (BEDC) 2024) ambao umeandaliwa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) utakaofanyika Novemba 22, 2024 mkoani Dodoma. Akizungumza…

Kinara wa dawa za kulevya Dodoma anaswa

Na Alex Kazenga, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imemnasa kinara wa kusambaza dawa za kulevya jijini Dodoma; JAMHURI linaripoti. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo akizungumza na vyombo vya habari Novemba…