JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

USCAF yaingia mikataba, kufikisha huduma za mawasiliano vijiji 5,111, minara 2,152 kujengwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mhandisi Peter Mwasalyanda, amesema mfuko huo umeingia mikataba ya kufikisha huduma za mawasiliano katika kata 1,974 zenye vijiji 5,111 na wakazi wapatao 29,154,440. Kupitia…

Ngorongoro yalemewa

*Majengo ya mamilioni yatelekezwa, yageuka magofu *Askari Uhifadhi walala vichakani mithili ya digidigi *Ukata wasababisha ujangili kuibuka upya Pololeti, Serengeti *Nyamapori zauzwa nje nje migahawani Loliondo Na Mwandihi Wetu, JamhuriMedia, Loliondo Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) ambayo…

Dk Mwinyi ashiriki kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri ya CCM Taifa kilichoketi Jijini Dodoma na kuongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri…

TLP yamchagua Wangira kugombea Urais

Na Heri Shaaban, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kimemchagua Yusuph Wangira, kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho katika uchaguzi mkuu wa chama hicho uliofanyika  Wilaya ya Ubungo mkoa Dar…