JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Serikali kutumilia Bilioni 208.9 kuwezesha kaya duni 260 kwa miaka sita

OR – TAMISEMI, Morogoro Serikali inakusudia kutumia Dola milioni 77.4 sawa na shilingi Bilioni 208.9 kuzijengea uwezo kaya duni laki mbili na elfu 60 za wakulima na wavuvi kwa kuziwezesha kitaalam na kuziunganisha na taasisi za kifedha hususani TADB kwa…

Msajili Hazina aongoza mazungumzo ya uwekezaji na Kampuni ya Uwisi

Na Mwandishi Maalum Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, ameongoza mazungumzo ya kitaalamu kati ya Serikali ya Tanzania na Bw. Soren Toft, Afisa Mtendaji Mkuu wa Mediterranean Shipping Company (MSC), kuhusu uwekezaji wa kimkakati katika Bandari ya Dar es Salaam…

INEC yahimiza wananchi mikoa 16 kujitokeza uboreshaji daftari awamu ya pili

Na Mwandishi Wetu, Jamhurimedia, Pwani TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka wananchi kutoka mikoa 16 ya Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar wanaokwenda kuanza Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu yapili kujitokeza kuboresha taarifa zao pamoja na kutazama…

Evance Kamenge ampongeza Rais Samia alivyoonyesha mabadiliko ndani ya CCM

Na Lydia Lugakila, JamhuriMedia, Kagera Mkulima na mchumi kutoka Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera Evance Emanuel Kamenge amesema kuwa Rais Samia ni kiongozi wa mfano na wa kupongezwa kwani ameleta mabadiliko makubwa ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwani CCM…

Trump: Naweza kwenda Uturuki ikiwa Putin ataenda

Donald Trump ambaye amesema kwamba anajitolea kwenda nchini Uturuki kwa mazungumzo ya kumaliza vita vya Ukraine ikiwa mwenzake wa Urusi Vladimir Putin pia atajitokeza. Rais wa Marekani Donald Trump ambaye anaendelea na ziara yake ya siku nne huko Mashariki ya…

Wizara ya Viwanda na Biashara yaomba Bunge kuipitishia bilioni 135.7 kwa Bajeti ya 2025/2026

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Viwanda na Biashara imeomba kuidhinishiwa na Bunge kiasi cha shilingi bilioni 135.7 kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake ya maendeleo na matumizi ya kawaida kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Hayo yamebainishwa leo Mei…