Category: MCHANGANYIKO
Mongela ataka Watanzania kumuombea Samia
Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media, Uvinza Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongela, amewaomba Watanzania kuendelea kumuombea mgombea urais wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan ili awe na afya njema. Akizungumza na mamia ya wananchi wa…
Samia atangaza kufungua fursa Uvinza
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Uvinza Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema kama atachaguliwa tena atahakikisha atafungua fursa za uchumi kwa wakazi wa Uvinza. Amesema fursa hizo ni pamoja na kujenga soko kwa ajili ya kina…
TBA yawataka wadaiwa sugu kulipa madeni yao kabla ya Septemba 30,2025
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMediaDar es Salaam WAKALA wa Majengo TBA imewataka Wapangaji wote wa nyumba za kuishi,Biashara,pamoja na wale wanaoishi kwenye Maeneo yao ambao wana madeni ya Kodi na malimbikizo ya nyuma kulipa kabla ya Septemba 30,2025 kwani baada ya muda…
Pinda: Tutashinda kwa kishindo, ataka umoja
Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media, Uvinza Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda ambaye ni mratibu wa kampeni wa chama hicho mikoa ya Kigoma, Rukwa na Katavi, amewataka wananchi wa Kigoma kutokubali watu wanaotishia amani ya nchi kuwalaghai. Pinda ametoa kauli hiyo…
Kishindo cha Samia mkoani Tabora
*Atangaza neema ujenzi wa taa 2,500, madaraja*Akumbushia historia ya Mwalimu Nyerere Na Kulwa Karedia,Jamhuri Media, Tabora Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),amehitimisha kampeni zake mkoani Tabora kwa kishindo. Akizungumza na maelfu ya wakazi wa mkoa wa Tabora katika mkutano…
TAKUKURU Pwani yarejesha milioni 1.3 kwa wananchi Nyakahamba
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriPwani Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Pwani imerejesha kiasi cha shilingi 1,376,250 kwa wananchi wa Kitongoji cha Nyakahamba, kata ya Kerege, wilayani Bagamoyo, waliotozwa kinyume cha utaratibu na Mwenyekiti wa Kitongoji kwa…





