JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

THBUB yalaani tukio la kutekwa kwa Polepole

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imelaani tukio la taarifa za kushambuliwa na kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Mhe. Humphrey Polepole, tukio lililodaiwa kufanywa na watu wasiojulikana tarehe 6…

Chalamila Azindua Programu ya ‘Konekt Umeme, Pika kwa Umeme’

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, leo Oktoba 9, 2025, amezindua rasmi programu ya “Konekt Umeme, Pika kwa Umeme”, ubunifu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) unaolenga kuongeza matumizi ya…

Msajili Hazina ashiriki uzinduzi ujenzi mgodi wa madini Kinywe

Na Mwandishi wa OMH Mahenge, Morogoro. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, ameshiriki uzinduzi wa shughuli za ujenzi wa mgodi wa madini ya kinywe (graphite), uliofanywa na Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, katika hafla iliyofanyika Alhamisi, Oktoba 9, 2025,…

Samia asema CCM haikomoki,kufufua bandari Musoma

Na Kulwa Karedia, Jamhuri Media Musoma Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amesema ndani ya Mkoa wa Mara kuna watu wamenuna nuna, wanachochea na kusaidia wagombea wa vyama vya upinzani ili waikomoe CCM. Rais Samia…

Wasira atahadharisha kikundi cha chokochoko kwenye mitandao

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media- BUNDA MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, ametoa tahadhari kwa wananchi dhidi ya kikundi cha watu wachache wanaoleta chokochoko katika mitandao ya kijamii wanaotaka kuvuruga amani. Amesema kikundi hicho ni miongoni…