Category: MCHANGANYIKO
Ulega: Pwani kituo cha vifaa vya dharura wakati wa mvua za El Nino
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, PwaniSeptemba 9, 2026 WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Mkoa wa Pwani umewekwa kuwa kituo kikuu cha kuhifadhi vifaa vya dharura vitakavyotumika kukabiliana na athari za mvua za El Nino. Amebainisha vituo vingine vimewekwa katika Kanda…
Rashal yaharakisha ujenzi wa Bomba la Gesi Kisemvule – Mbagala
*Mradi wa kilomita 22 walenga kukamilika Januari 2027, *Kuunganisha viwanda na kuimarisha mtandao wa CNG Dar Na Mwandishi Wetu UJENZI wa bomba la gesi asilia lenye urefu wa kilomita 22 kutoka Kisemvule hadi Mbagala umeingia hatua muhimu, huku kampuni ya…
VETA Dar kuanzisha mafunzo ya urejelezaji taka kuchochea ajira
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha VETA Dar es Salaam kinatarajia kuanza kutoa mafunzo maalumu ya urejelezaji taka (recycling) kuanzia Oktoba mwaka huu, yakilenga kuwajengea vijana ujuzi wa kutambua, kuchambua na kuchakata taka na kuzigeuza kuwa fursa…
NMB yaweka milioni 165 kusukuma mauzo Kariakoo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wafanyabiashara wa Kariakoo wanatarajiwa kupata fursa zaidi za mauzo na kupokea malipo kwa njia za kidijitali kupitia Kariakoo Festival 2026. Benki ya NMB imetangaza udhamini wa Sh milioni 165 kwa tamasha hilo litakalofanyika…
Meya Kibaha akabidhi mashine ya photocopy Mwambisi, kupunguza mzigo kwa wazazi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha MEYA wa Manispaa ya Kibaha, Dkt. Nicas Mawazo, amekabidhi mashine ya photocopy kwa Shule ya Sekondari Mwambisi, hatua inayolenga kupunguza gharama kwa wazazi na wanafunzi wanaochangia fedha kwa ajili ya uchapishaji wa mitihani na nyaraka…





