Category: MCHANGANYIKO
Wizi wa mafuta, uwekaji vinasaba wabainika kuwa na walakini
*Ya kupelekwa nje ya nchi yaishia ‘sheli’ za ndani *TBS wasuasua kutekeleza masharti ya mkataba Na Manyerere Jackton, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wimbi jipya la uhujumu uchumi kupitia biashara ya mafuta yanayosafirishwa kwenda mataifa jirani limeibuka, huku mamlaka za serikali…
DAWASA yaahidi uhakika wa uzalishaji wa maji Dar
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) DAWASA, Mhandisi Mkama Bwire, amesema kuwa uwezo wa uzalishaji wa maji katika Jiji la Dar es Salaam umeongezeka kutoka lita…
‘Dawa mpya za kulevya na dawa tiba zenye asili ya kulevya tishio duniani’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BALOZI na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa na Mashirika ya Kimataifa, Vienna,Naimi Sweetie Hamza Aziz amezitaka nchi wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa…
RC Chalamila aingilia kati sakata la mjane kutolipwa haki zake na Hospitali ya Amana
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amekutana na Martha ambaye siku za hivi karibuni amesikika kupitia mitandao ya kijamii kuwa anaidai Hospitali ya Rufaa ya Amana zaidi ya shilingi milioni 3 kutokana na kufanya kazi ya…
Barabara Kimara-Mavurunza-Bonyokwa-Kinyerezi kuwa ya lami
Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imeanza ujenzi wa barabara ya Kimara – Mavurunza – Bonyokwa hadi Kinyerezi , jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilomita saba kwa kiwango cha lami. Ujenzi wa barabara hiyo unatekelezwa na kampuni…
BRELA yawanoa waadishi wa habari wa Jamhuri Media
Na Aziza Nangwa,JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imetoa mafunzo ya usajili na rasimishaji wa biashara kwa wafanyakazi wa Kampuni ya Jamhuri Media. Akizungumza baada ya mafunzo hayo yaliyofanyika katika ofisi za kampuni hiyo…