JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Amuua mchungaji kwa kuchoka kuombewa muda mrefu bila kupona, Polisi wamshikilia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara JESHI la Polisi mkoani Mtwara linamshikilia mkazi wa kijiji cha Lupaso kitongoji cha kadudu Wilaya ya Masasi mkoani humo Victor Fransis (39) kwa tuhuma za mauaji ya mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblise of God…

Aliyekuwa mhasibu kituo cha afya Endagwe Babati afikishwa kizimbani kwa rushwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Babati Aliyekuwa Mhasibu Msaidizi wa Kituo cha Afya Endagwe wilayani Babati, Mohamed Twalib Baya, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara, kujibu mashtaka ya rushwa, uhujumu uchumi na kughushi nyaraka. Shauri hilo la…

Hawa ndio wagombea kiti cha urais ADC Bara na Visiwani

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha Alliance Democratic Change (ADC), kimemtangaza Willison Elias kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mbali ya Willison, chama hicho pia kimemteua mwanasiasa mkongwe Hamad Rashid Mohamed kuwa mgombea urais…

Fomu ya ubunge ya Ulega na mkewe yazua jambo Pwani

Na Mwandishi wetu Wakati Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega na mkewe Mariam Abdallah Ibrahim wakiwa wamechukua fomu ya kuomba kuwania ubunge wa jimbo na viti maalum katika Mkoa wa Pwani, wadau mbalimbali wamehoji hatua hiyo imelenga kutatua kero za wananchi…

Dk Biteko: Nishati itakayozalishwa na nyuklia kujumuishwa kwenye gridi ya Taifa

📌 Asema ni Nishati yenye unafuu wa gharama kulinganisha na vyanzo vingine vya nishati, pia isiyochafuzi kwa mazingira. 📌 Asisitiza nyuklia kwa ajili ya kuzalisha umeme ni salama, awatoa hofu jamii kuhusiana na matumizi yake 📌 Akazia kuhusiana na matumizi…