JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

JKCI yaonyesha matumaini kwa wazazi wa watoto wenye shida ya moyo Sinyanga

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Shinyanga Changamoto ya kiuchumi kwa jamii imekuwa ni kikwazo kwa baadhi watoto  kuendelea na matibabu ya moyo hali iliyosababisha kuchelewa kupata matibabu ambayo yangeokoa maisha yao. Hayo yamesemwa jana na daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa…

Ushirikishaji jamii katika matengenezo ya barabara utaiounguzia mzigo Serikali

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Ushirikishwaji wa vikundi vya kijamii katika matengenezo madogomadogo ya miundombinu ya barabara umetajwa kuwa suluhisho la kupunguza gharama kwa serikali na kuongeza uimara wa barabara nchini. Mhandisi Ephrahim Kalunde kutoka mradi wa RISE-TARURA ameyasema hayo…

Wasiojulikana wamshambulia aliyekuwa Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Same Mapande

Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Same Watu wasiojulikana wamemshambulia kwa mapanga aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, Bw. Yusto Mapande, usiku wa Agosti 21, 2025 majira ya saa tatu usiku, wakati akiingia nyumbani kwake. Katika tukio hilo, Mapande alijeruhiwa…

Bagamoyo sasa ni Halmashauri ya Mji, Serikali kumwaga bilioni 1

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohammed Mchengerwa, ametangaza rasmi kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Bagamoyo na kuwa Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo. Tamko hilo…

Watumishi wa afya waaswa kuhudumiwa wananchi kwa upendo

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohammed Mchengerwa, amewataka wataalamu wa sekta ya afya nchini kufanya kazi kwa weledi, kusikiliza wananchi na kuwahudumia kwa moyo…