Category: MCHANGANYIKO
Angalia Ufaransa Walivyobeba Kombe la Dunia – Video
TIMU ya Taifa ya Ufaransa imefanikiwa kunyakua Ubingwa wa Dunia mwaka 2018 baada ya kuifunga Croatia kwa bao 4-2. Mabao ya Ufaransa yamewekwa kimiani na Mario Mandzukic aliyejifunga, Antoine Griezmann aliyefunga kwa njia ya penati pamoja, Paul Pobga pamoja…
Azam Yafanikiwa Kutetea Ubingwa Kombe la Kagame Yaitandika Simba 2-1
AZAM FC imefanikiwa kutetea ubingwa wake wa Kombe la Kagame baada ya jana Ijumaa kuifunga Simba mabao 2-1 katika mchezo wa fainali uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar. Katika mchezo huo ulioanza majira ya saa 12 jioni, Azam ilikuwa ya…
Ufafanuzi kuhusu tuhuma dhidi ya Prof Faustine Bee
Na Mwandishi Wetu Gazeti la JAMHURI linamwomba radhi Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, Prof Faustine Bee, kutokana na habari zilizochapishwa katika matoleo ya kati ya Aprili na Septemba, 2016, habari zilihusu ufisadi katika Chama cha Akiba na…
CHIRWA ASAJILIWA DARAJA LA PILI MISRI
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga raia wa Zambia, Obrey Chirwa rasmi Klabu ya Nogoom El Mostakbal Football Club. MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga raia wa Zambia, Obrey Chirwa rasmi amesaini mkataba na Klabu ya Nogoom El Mostakbal Football Club ya…
Asante sana Lukuvi, wengine wakuige
Wahenga walisema: “Tenda wema nenda zako.” Wahaya na Wanyambo wanasema: “Ekigambo kilungi kigambwa.” Nao Wahehe wanasema: “Uwema kigendelo” au “Utende wema ubitage”; na kadhalika. Sasa ni miezi minne tangu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (pichani),…
Kortini kwa ‘kula’ fedha za Uchaguzi Mkuu
Maofisa wa halmashauri za wilaya nchini waliosimamia Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2015 wameanza kuchunguzwa kwa matumizi mabaya ya fedha. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema baadhi yao wamekwisha kufunguliwa mashitaka wakituhumiwa kuandaa nyaraka…





