JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Tanzania kuwa kitovu cha kimataifa cha ubunifu wa teknolojia na bahari

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ushirikiano kati ya Taasisi ya Adani Foundation na IITM Zanzibar kwa pamoja wamekubaliana katika kuboresha elimu ya juu nchini katika kuunda fursa kwa vijana, hasa wale wanaotoka katika familia zenye hali duni. Kwa…

Palmer achaguliwa mchezaji bora wa mwaka England

Na Isri Mohamed Kiungo wa Chelsea, Cole Palmer amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa kiume wa mwaka 2023/24 wa timu ya England kwa kura za wachezaji. Kiungo wa Real Madrid, Jude Bellingham amekamata nafasi ya pili huku Bukayo Saka wa Arsenal…

Wanaodaiwa kumuua mkulima Arusha wakamatwa

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limefanikiwa kuwakamata watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya Israel Paulo (36) Mkulima na Mkazi wa Leguruki, Wilaya ya Arumeru na Mkoa wa Arusha aliyefariki dunia tarehe 5 mwezi…

Masauni awahimiza Kondoa kujiandikisha daftari la mpigakura

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kondoa WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amewahimiza wananchi wa Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma kujiandikisha kwa wingi katika daftari la mpigakura ili kuchagua viongozi watakaowaletea maendeleo. Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara…

Tume utumishi wa walimu, mahakama kubadilishana uzoefu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Tume ya Utumishi wa Walimu na Tume ya Utumishi wa Mahakama zimekubaliana kuwa na ushirikiano wa karibu, kukutana mara kwa mara na kupeana uzoefu kwani zote mbili zinatekeleza majukumu yanayofanana. Katibu wa Tume ya Utumishi…

Programu elimu mbadala yawezesha wasichana 194 kurudi shule

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kongwa Wasichana 194 waliorejeshwa shuleni kutokana na kupata ujauzito wameendelea na masomo kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari kwa Njia Mbadala (SEQUIP-AEP) mkoani Dodoma. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Mayeka Mayeka wakati…