JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Israel Salufu awania Jimbo la Kilolo

Na Mwandishi Wetu KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Israel Johaness Salufu amechukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Jimbo la Kilolo mkoani Iringa. Salufu amechukua fomu hiyo leo tarehe 28 Juni 2025 katika Ofisi za…

Wachimbaji wa shaba waaswa kujiunga vikundi kunufaika na fursa za maendeleo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mpwapwa, Wachimbaji wadogo wa madini ya shaba wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wametakiwa kujiunga katika vikundi ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali zinazotolewa na Mradi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP), unaolenga kuwaendeleza wachimbaji…

Dk Samia amuagiza Dk Kimambo kusimamia weledi na uongozi Muhimbili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imefanya uwekezaji mkubwa wa vifaa tiba na wataalaam wenye utaalam wa juu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ili iweze kutoa…

Mwandishi wa habari Baruan Muhuza achukua fomu kuwania Jimbo la Kigoma Mjini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Asubuhi ya leo katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ujiji, Kigoma tumemshuhudia nguli wa Utangazaji nchini, Baruan Muhuza akichukua Fomu kuwania nafasi ya kukiwakilisha Chama cha Mapinduzi katika uchaguzi Mkuu ujao kupitia jimbo…

Bonanza la Wizara ya Madini laweka msingi mpya wa afya, maendeleo na umoja kazini

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia Dodoma Katika kuenzi afya ya mtumishi wa umma kama msingi wa ufanisi wa taasisi za Serikali, Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Taasisi zake imeandaa bonanza la michezo lililowakutanisha viongozi na watumishi wake kwa lengo la kuhamasisha…