Category: MCHANGANYIKO
NEEC yajipanga kuongeza kasi ya uwezeshaji kiuchumi kuelekea Dira 2050
Katibu Mtendaji wa NEEC Bw. Jabiri Makame amefanya kikao kazi cha mwelekeo wa NEEC katika utekelezaji wa Sera ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Dira 2050. Kikao hicho kimehudhuriwa na Wakuu wa Idara, Vitengo na Sehemu wa Taasisi kwa lengo la…
TBS Yaipongeza HESLB kwa kupata cheti cha iso 9001:2015
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM Kupata cheti cha kimataifa cha ubora cha ISO 9001:2015 kumeiwezesha Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kuweka mkakati wa kutumia teknolojia kupunguza muda wa kutuma fedha za mikopo kwa wanafunzi…
Waziri Mavunde azitaka nchi za Afrika kuacha utegemezi wa misaada ya nje kwa ajili ya utafiti
▪️Angoza mkutano wa Mawaziri wa Afrika kujadili juu ya ugharamiaji utafiti na kuongeza thamani madini Afrika ▪️Atoa wito kwa nchi za Afrika kutumia mapato ya ndani kufadhili miradi ya madini, kuongeza thamani na kujenga uchumi wa viwanda ▪️Ataja utashi wa…
Wizara ya Ardhi yatekeleza agizo la Waziri Mkuu, Akwilapo atoa wito kwa wananchi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza kushughulikia kapu la hoja za ardhi wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani, huku ikiwataka wananchi kuheshimu haki za umiliki na kufanya uhakiki wa kina wa nyaraka kabla ya…
TMA yabaini uwepo dalili za kimbunga Bahari ya Hindi, yatoa tahadhari
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa mgandamizo mdogo wa hewa katika Bahari ya Hindi karibu na Visiwa vya Ushelisheli, katika umbali wa takribani kilomita 1,600 kutoka pwani ya Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa ya…
Mkenda: Waandishi watumie fursa kukuza sekta ya vitabu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesisitiza umuhimu wa Tanzania kuendelea kuandika na kuhifadhi historia, utamaduni na maarifa yake ili vizazi vijavyo viweze kujifunza kuhusu nchi yao kutoka katika vyanzo vilivyoandikwa na Watanzania wenyewe Prof. Mkenda amesema…





