Category: MCHANGANYIKO
Polisi yaanza uchuguzi kutekwa kwa Polepole
Jeshi la Polisi nchini Tanzania kupitia kwa Msemaji wake DCP David Misime limesisitiza kuwa bado linaendelea kumsubiri Humphrey Polepole ili aripoti katika Ofisi ya Mkurugenzi wa upelelezi wa Makosa ya jinai ili atoe maelezo kuhusu tuhuma mbalimbali alizozitoa kupitia Mitandao…
Wapongeza mageuzi ya mfumo CRDB ikisherehekea Wiki ya Huduma kwa wateja
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BENKI ya CRDB imezindua rasmi maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa mwaka 2025 katika hafla iliyofanyika katika tawi la Dar Village jijini Dar es Salaam, ikiambatana na kaulimbiu ya kimataifa ya…
Mgeja achanja mbuga kumuombea Dk Samia kura za ushindi wa kishindo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kahama MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga na Mwanasiasa Mkongwe, Khamis Mgeja amejitosa kumpigia kampeni mgombea urais wa chama hicho, Dk. Samia Suluhu Hassan, kuhakikisha anapata kura za ushindi wa…
Upepo wa Samia wazidi kuvuma kupitia mikutano yake ya kampeni
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amesema tangu kuanza kwa mikutano ya kampeni za Urais kupitia CCM kwa mgombea wake Dkt. Samia Suluhu Hassan, tayari zaidi…
Washindi wa Piku Afrika waeleza furaha yao baada ya kujinyakulia zawadi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WASHINDI wawili wa promosheni ya Piku Afrika, jukwaa la kidijitali linaloendesha minada ya kipekee mtandaoni, wameeleza furaha yao baada ya kujinyakulia zawadi mbalimbali zenye thamani kubwa kupitia mfumo huo wa mnada wa kidijitali….
Polisi : Tunawasaka wanaotumia mitandao ya kijamii kwa nia ovu
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limewahakikishia Watanzania wote kuwa litaendelea kuwasaka, kuwakamata na kuwafikisha katika Mamlaka nyingine za haki Jinai wale wote ambao kupitia mitandao mbalimbali ya Kijamii wa mekuwa na tabia ya kutengeneza, kuandika na kusambaza maandishi na picha…





