JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Abdul Nondo : Nikizungumza kilichotokea nitauliwa

Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Abdul Nondo amedai kuwa ametishiwa kuuawa endapo atasimulia kilichotokea baada ya kutekwa na wateaji “Ukitoka hapa nenda moja kwa moja nyumbani kwako. Tunapajua vizuri na usizungumze kokote juu ya kilichotokea, pia tusikuone…

Madiwani Kenya watembelea TARI Tengeru kujifunza kilimo

Madiwani kutoka kaunti ya Eligeyo-Marakwet nchini Kenya wametembelea Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha TARI Tengeru kilichopo Arusha kwa lengo la kujifunza shughuli zinazofanywa kituoni hapo ili kuweza kushauri Serikali nchini kwao kutokana na uzoefu wa kazi zinazofanyika nchini Tanzania. …

Wananchi washauriwa kuchangamkia fursa ya uwepo wa kambi ya madaktari bingwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Madaktari Bingwa na Bingwa Bobezi wapatao 32 wamewasili mkoani Njombe kwa kambi ya Siku tano (5) iliyoanza leo Desemba 2 hadi Desemba 6, 2024 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe. Akizungumza katika hafla…

Mkoa wa Pwani kuwakutanisha wawekezaji na wafanyabiashara Desemba 16 – 20

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani MKOA wa Pwani unatarajia kukutanisha wafanyabiashara, wawekezaji na wajasiriamali kwenye Maonyesho ya Biashara ya awamu ya nne yatakayofanyika Desemba 16 hadi 20, 2024, katika viwanja vya Mailmoja, Stendi ya zamani, Kibaha. Maonyesho hayo yatafunguliwa rasmi…

Mkurugenzi TPA ashiriki miaka 50 tangu kuanzishwa kwa PMAESA

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salam Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Dkt. George Fasha, kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu, tarehe 30 Novemba 2024, ameshiriki katika sherehe za maadhimisho ya miaka 50…