JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wanawake Nyamagana wapata majiko kupitia Kampeni ya Siku 16 dhidi ya Ukatili wa Kijinsia ya Barrick na washirika wake

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Nyamagana Wanawake Nyamagana wapata majiko ya Nishati safi kupitia kampeni ya siku 16 dhidi ya ukatili wa kijinsia ya Barrick na washirika wake. Ukiwa ni mwendelezo wa kushiriki kampeni ya siku 16 dhidi ya vitendo vya…

Shirika la Abilis Foundation kufadhili mradi wa kuimarisha uongozi kwa wenye ulemavu

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Shirika la Abilis Foundation lenye makao yake makuu nchini Ufaransa limefadhili Mradi wa Kuimarisha Uongozi kwa Watu Wenye Ulemavu utakaotekelezwa na Taasisi ya Foundation for Disabilities Hope inayoendesha shughuli zake Dodoma. Hayo yameelezwa Jijini Dodoma na Mkurugenzi…

Biden amsamehe mwanawe Hunter mashtaka ya jinai

Rais wa Marekani Joe Biden amempa mwanawe Hunter Biden msamaha wa rais na kumuepushia kifungo jela kutokana na makosa ya umiliki wa bunduki kinyume cha sheria na madai ya kukwepa kulipa kodi. Kwa hatua hiyo, Rais Biden amekwenda kinyume na…

Abdul Nondo apatikana Coco Beach baada ya kutelekezwa

Mahmudu Abdul Nondo, mwanaharakati na kiongozi wa ACT Wazalendo, aliripotiwa kupatikana kwenye fukwe za Koko Beach jijini Dar es Salaam mnamo Desemba 1, 2024, baada ya kutoweka kwa siku kadhaa. Nondo alikuwa ameripotiwa kutekwa awali, hali iliyozua taharuki na mjadala…