JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Tume ya TEHAMA yasisitiza umuhimu wa anuani za makazi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma TUME ya TEHAMA, imeelezea kufurahishwa na uamuzi wa Serikali wa kuanzisha Maonesho ya Anuani za Makazi ikisema ni jukwaa muhimu la kufikisha elimu juu ya mchango wa anuani katika uchumi wa kidigitali. Akizungumza wakati wa…

Marburg yatishia baa la njaa Biharamulo

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Biharamulo WAKATI Serikali ikiendelea na uchunguzi wa chanzo cha ugonjwa wa Marburg ulioibuka hivi karibuni wilayani Biharamulo mkoani Kagera na kusababisha vifo, baadhi ya wananchi wa Kata za Ruziba, Nyarubungo, Bisibo na Nyakahura,wamesema wapo hatarini kukumbwa…

TAKUKURU Kinondoni wafanya uchambuzi wa mifumo na kubaini upotevu na ufujaji wa fedha za umma

Na Magrethy Katengu, JamhuriMediaDar es Salaam Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kinondoni imesema katika kipindi cha mwezi Okoba hadi Desemba 2024 wamefanya uchambuzi wa mifumo na wamebaini mianya ya rushwa katika maeneo ya ofisi, taasisi, na idara…

Mhagama : Serikali imefanya mageuzi makubwa sekta ya Afya, aipa tano MSD

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Afya Jenista Mhagama leo February 6, 2025 ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa ghala la Kisasa la kuhifadhia bidhaa za afya linalojengwa na na Bohari ya Dawa (MSD) katika eneo…

Majaliwa : Tutaendelea kujiimarisha kiuchumi

*Ampongeza Rais Dkt. Samia kwa kuendeleza mahusiiano ya Kimataifa WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inajiimarisha katika kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali zilizopo ili kuweza kumudu kutekeleza maeneo yote muhimu yakiwemo ya sekta ya afya, elimu na maji….

CBE kuanza kutoa PhD ya infomatiki za baishara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kinatarajia kuanzisha program ya Shahada ya Uzamivu (PhD) katika Infomatiki ya Biashara ili kuleta mabadiliko ya uchumi wa kidijitali na teknolojia katika kufanya biashara za kidijitali kuendana…