Category: MCHANGANYIKO
Dk Dugange : Watanzania wapande miti kila mwaka angalau mmoja
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma NAIBU Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Festo Dugange ametoa rai kwa kila Mtanzania kupanda mti angalau mmoja kila mwaka anapoadhimisha kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ili kuleta chachu katika hifadhi…
Jamii yaaswa kutowaficha wagonjwa wa ukoma
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa ameiasa jamii kuachana na dhana potofu ya kuficha wagonjwa wa Ukoma na kujitokeza wanapobaini viashiria vya ugonjwa huo ili kurahisisha jitihada za Serikali kutokomeza ugonjwa huo nchini. Waziri Mchengerwa alisema…
Waziri Mkuu ashiriki zoezi la upandaji miti Dodoma
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 27, 2026 ameshiriki zoezi la upandaji miti, mbele ya ofisi ya Waziri Mkuu Mlimwa Jijini Dodoma. Zoezi hilo ni sehemu ya hatua ya kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt….
Adaiwa kumchoma kisu mkewe baada ya kubaini akitumia dawa za ARV kwa kificho
Na Crecensia Kapinga, JamhuriMedia, Ruvuma Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linamshikilia mwanaume mmoja kwa tuhuma za kumjeruhi mke wake (majina yamehifadhiwa) kwa kumchoma na kisu tumboni upande wa kushoto hadi utumbo kutoka nje baada ya kugundua kuwa mkewe alikuwa akitumia…





