Category: MCHANGANYIKO
Serikali yazidi kuhamasisha nishati safi yatoa mitungi 225 kwa watumishi Gereza Kuu Maweni
📌Shilingi bilioni 35 kupeleka nishati safi magereza yote nchini 📌Mitungi ya gesi 653 kupatiwa watumishi magereza Tanga 📌Mha. Saidy asisitiza uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea kuwezesha, kuhamasisha na kutoa elimu kuhusu…
Serikali yadhamiria kukuza kilimo cha umwagiliaji nchini yawekeza trilioni 1.2/-
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imetoa trilioni 1.2 kwa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) kwa kwa lengo la kubiresha miradi ya umwagiliaji nchini. Hayo yamebainishwa leo Juni 24,…
Tume yasisitiza ufanisi uboreshaji wa daftari magereza na vyuo vya mafunzo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye Magereza kwa Tanzania Bara na Vyuo vya Mafunzo kwa Tanzania Zanzibar wametakiwa kuzingatia mafunzo waliyopatiwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ili…
Majaliwa azindua mitambo ya bilioni 12.4/- kwa ajili ya wachimbaji wadogo
*Ni kwa ajili ya uchorongaji na utafiti wa madini. *Asema ni mwendelezo wa juhudi za Rais Dkt. Samia kuboresha shughuli za wachimbaji wadogo. *Atoa wito kwa wachimbaji wadogo kuuza madini ndani ya nchi. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua mitambo kumi…
Serikali : Tanzania inaongoza kwa simba, nyati, chui Afrika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma SERIKALI imesema Tanzania inaongoza kwa idadi ya simba, chui na nyati Afrika. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dustan Kitandula alisema hayo bungeni Dodoma jana alipoeleza mafanikio ya sekta ya utalii wakati akichangia taarifa ya…
Utekelezaji malengo wachangia uchumi Zanzibar kuimarika
RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Zanzibar imeimarika kutokana na utekelezaji wa malengo ya Serikali ya Awamu ya Nane ya kuwaunganisha wananchi, kuleta ustawi wao na kukuza uchumi. Dk Mwinyi alisema hayo jana katika hotuba yake kwa Baraza la…