Category: MCHANGANYIKO
Watakiwa kuwapuuza wanasiasa wanaotaka wasusie Uchaguzi Mkuu
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amewataka Watanzania kupuuza maneno ya wa wanasiasa wanaopita maeneo mbalimbali nchini na kueneza habari za uchochezi kuhusu Uchaguzi Mkuu. Ndumbaro amesema kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeeleza sababu zinazoweza…
Wanachama 50 wa ACT-Wazalendo wajiunga CCM Lindi
Zaidi ya wanachama 50 kutoka katika Chama cha ACT Wazalendo wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi ( CCM) Wanachama hao wakiongozwa na aliyewahi kuwa diwani na mwenyekiti kupitia tiketi ya ACT Wazalendo, Said Kitunguli wamepokelewa na Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi…
EIB kuongeza ufadhili kwa miradi ya maendeleo nchini Tanzania
· Yatangaza ufadhili mpya kwa miradi mitano nchini. Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank – EIB) imeahidi kuongeza ufadhili na mikopo ya masharti nafuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini Tanzania, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha ushirikiano baina…
Waombwa kuchukua vitambulisho vyao NIDA
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia Dar es Salaam Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya vitambulisho nchini (NIDA) James Kaji amewataka Waandishi wa Habari ,kusaidia kutoa elimu kwa jamii kwenda kuchukua vitambulisho vyao kwa wale ambao wamepata ujumbe kutoka NIDA. Kaji ametoa wito…
Wizara ya Habari yajivunia kuimarisha upatikanaji habari na kueneza taarifa sahihi kwa wananchi
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba Kabudi, amesema Serikali kupitia Wizara yake imefanikiwa kuimarisha upatikanaji wa habari na kueneza taarifa sahihi kwa wananchi kupitia mikakati mbalimbali iliyotekelezwa ndani ya miaka minne ya Serikali ya Awamu…
Chana aanika mikakati ya uhifadhi kwa wananchi wa Wanging’ombe katika kukabiliana na changamoto ya wanyamapori
Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Wanging’ombe Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amefungua rasmi semina ya kuwajengea uwezo wadau wa uhifadhi kuhusu mikakati ya kukabiliana na changamoto ya wanyamapori wakali na waharibifu ikiwa ni pamoja na…





