Category: MCHANGANYIKO
Bodi ya ushauri TARURA yaipa heko Serikali ujenzi daraja la Mohoro
*TARURA kuendelea kuondoa vikwazo vya miundombinu *Wananchi waaswa kutunza miundombinu ya daraja Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rufiji Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Florian Kabaka ameishukuru Serikali kwa kuwezesha Wakala huo…
Misime:Waandishi wazingatie sheria na kanuni za uchaguzi
Na Pendo Nguka,JamhuriMedia Dar es Salaam Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini (DCP), David Misime ameeleza uhitaji wa mchango mkubwa wa waandishi wa habari hasa katika kipindi cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu kwa kuzingatia sheria na kanuni. Misime amesema hayo…
Arusha washuhudia maonyesho ya faida ya kupika kwa kutumia nishati safi
Wananchi kutoka vitongoji mbalimbali jijini Arusha walikusanyika kushuhudia maonyesho ya moja kwa moja kuhusu faida za kupika kwa kutumia umeme kama nishati safi na salama. Kampeni hii, inayoendeshwa na Wizara ya Nishati kwa kushirikiana na UKAid na MECS, inalenga si…
Marekani yatoa msaada wa mahema kusaidia uhifadhi faru weupe
Katika kuendeleza juhudi za kuimarisha uhifadhi na ulinzi wa rasilimali za Wanyamapori, Taasisi ya Caribbean Naples Zoo kutoka Nchini Marekani imetoa msaada wa mahema kumi (10) kwa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kwa lengo la kuimarisha shughuli za uhifadhi…
Kasi ndogo ya utekelezaji mradi wa umeme Chalinze – Dodoma yamkasirisha Dk Biteko
📌 Asikitishwa mradi huo aliouzindua Novemba 2024 kuwa nyuma kwa asilimia Saba 📌 Asema Rais Samia alitoa agizo mradi usichezewe kutokana na umuhimu wake katika mikoa mbalimbali ikiwemo ya Magharibi 📌 Asema sababu zilizotolewa na mkandarasi (TBEA) za kusuasua kwa…