JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Tanzania bado inakabiliwa na uharibfu wa mazingira : Dk Mpango

SEHEMU ya washiriki wakisikiliza Hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango (hayupo pichani) wakati akifungua Mkutano Maalum wa Viongozi, Wataalamu na Wadau wa Mazingira kuhusu Mwelekeo wa Mazingira Nchini unaofanyika jijini Dodoma….

Mazishi ya Ali Mohamed Kibao jijini Tanga

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni akishiriki mazishi ya Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo,Marehemu Ali Mohamed Kibao aliyetekwa na kukutwa ameuawa siku chache zilizopita ambapo amzishi yake yamefanyika leo jijini Tanga.Picha na Wizara ya Mambo…

Mkumbo: Serikali kuendelea kushirikiana na asasi za kiraia bila kikwazo

Na Hughes Dugilo, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Mipango na Uwekezaji Profesa, Kitila  Mkumbo amesema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na Asasi za Kiraia nchini nakwamba haitakuwa kikwazo kwao katika shughuli zake za kuleta maendeleo, sanjari na kutoa mawazo yatakayojenga zaidi ili…

Vijana watakiwa kutumia vizuri mitandao

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam DIWANI wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam, Beatrice Edward amewataka vijana kutumia mitandao kujinufaisha na wala sio katika mambo yasiyokuwa na faida. Ametoa wito huo wakati akizungumza kwenye Jukwaa la Usimamizi…

Fk Biteko asisitiza maadili, weledi na uwajibilajo katika ununuzi wa umma

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezitaka Mamlaka za Udhibiti na Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki kuzingatia weledi, maadili na uwajibikaji ili kuleta ufanisi uliokusudiwa. Dkt. Biteko ametoa agizo hilo wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri…