JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Rais Mwinyi aongoza maelfu maziko ya mwandishi wa habari

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar, (ZBC) familia na waumini wengine wa dini ya Kiislam kwenye maziko ya aliyekuwa…

Serikali yaunda tume ya watu 19 kupitia maghorofa Kariakoo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kwa maelezo ya Rais Samia Suluhu Hassan, serikali imeunda tume ya watu 19 itakayohusika kupitia maghorofa yote Kariakoo ili kutambua ubora wa kila jengo. Hatua hiyo imetokana na kuanguka kwa jengo Novemba 15, na kusababisha…

Majaliwa aagiza mwenye jengo atafutwe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kumtafuta mhusika wa jengo lililoanguka Novemba 15, na kusababisha vifo vya watu 16, na wengine kuokolewa kwenye vifusi. Akizungumza leo Novemba 18, katika tukio la kuiaga miili ya watu 16, viwanja wa…

Bandari Mtwara yaendelea kuhudumia mizigo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) imesema Bandari ya Mtwara iko imara na inaendelea kuhudumia mizigo ikiwemo shehena ya korosho kwenda nje ya nchi. Meneja wa bandari hiyo, Ferdinard Nyathi amesema mpaka sasa meli tano…

Waziri Silaa aweka bayana mikakati ya kuwezesha idara yake ya Habari

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, ameweka wazi mikakati yake ya kuboresha sekta ya habari kupitia ushirikiano wa karibu na wanahabari. Akizungumza leo Novemba 18, 2024 jijini Dar es…