JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

REA kusambaza mitungi ya gesi zaidi ya 19,000 Mbeya

📌Kila wilaya kupatiwa mitungi ya gesi 3,255 na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rukwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya, Rodrick Mpogoro ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kuingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya Oryx Gas Tanzania Limited ambaye atahudumia…

Waziri Chana akutana na Balozi wa Ujerumani Terstegen

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Thomas Terstegen jijini Dar es Salaam leo Novemba 20,2024 . Miongoni mwa masuala yaliyojadiliwa ni pamoja na kuendeleza mashirikiano katika…

Wadau waombwa kusaidia kilim himilivu

Na Mwandishi Wetu WADAU wa maendeleo wameombwa kuendelea kusaidia sekta ya kilimo nchini Tanzania, hasa kwa kundi la vijana na wanawake ili kuhakikisha wanaleta mchango katika sekta hiyo. Wito huo ulitolewa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Amina…

TMDA yaonya matumizi dawa kuzuia mimba, kuongeza nguvu

Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Kanda ya Ziwa Mashariki, imeonya juu ya matumizi mabaya ya dawa za kuzuia ujauzito na kuongeza nguvu za kiume, ambayo yamebainika kuhatarisha afya za watumiaji. Onyo hilo limetolewa na Mkaguzi wa Dawa wa…

Makonda ataka mahubiri ya amani

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewaomba viongozi wa dini kuhubiri amani na utulivu ikiwemo wanasiasa kufanya kampeni za kistaarabu tunapoelekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotaraji kufanyika Novemba 27 mwaka huu nchi mzima. Aidha amewaomba viongozi wa…

Tanzania yanufaika na miradi ya mazingira

Tanzania inatarajia kunufaika na Dola za Marekani milioni 13 kwa ajili ya kuongeza wigo wa utekelezaji wa miradi ya kijamii kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa katika Halmashauri 15 zaidi kupitia Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Mitaji na Maendeleo (UNCDF). Hayo yamebainika…