Category: MCHANGANYIKO
Umoja wa Afrika waridhishwa maandalizi uchaguzi Tanzania
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amekutana na Misheni Maalum ya Umoja wa Afrika ya Kutathmini Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, na kuahidi kuwa uchaguzi huo utafanyika kwa haki, uhuru na amani. Misheni hiyo ya tathmini kabla ya uchaguzi (Pre-election…
Wizara ya Fedha yatoa elimu ya usimamizi wa mnyororo wa ugavi kwa wahariri wa vyombo vya habari
Josephine Majura na Joseph Mahumi, WF, Morogoro Serikali kupitia Wizara ya Fedha, imefanya mafunzo kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya usimamizi wa mnyororo wa ugavi katika sekta ya umma. Akizungumza wakati akifungua…
Oktoba kura zote kwa Rais Samia – Ummy Mwalimu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Kazi nzuri na miradi tele ya maendeleo iliyotekelezwa katika Jimbo la Tanga Mjini imetengeneza deni kwa wananchi wa Tanga Mjini dhidi ya Rais Dk. Samia Suluhu ambaye pia ni Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano…
Bodi REB yaihakikishia ushirikiano kampuni ya kuzalisha na kusambaza umeme ya Matembwe Njombe
📌Inazalisha umeme wa kilowati 550 kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Kiyepa 📌Inahudumia kaya 2,463 katika vijiji 8. Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu ameihakikishia ushirikiano…
Meatu mtaendelea kupata miradi mikubwa ya maendeleo ikiwemo nishati – Dk Samia
📌Asema baada ya Vijiji vyote Meatu kupata umeme kasi inaelekea vitongojini 📌 Ataka umeme utumike kuongeza thamani ya mazao, kilimo na ufugaji. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassani amesema Serikali imeendelea kupeleka maendeleo katika…