JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Bei ya mafuta yapanda kutoka sh 2, 864 hadi 3,820 nchini

Bei ya mafuta ya petroli imepanda kwa kiwango kikubwa ambapo kwa Jiji la Dar es Salaam imepanda toka shilingi 2,864 kwa lita mwezi Machi hadi kufikia shilingi 3,820 kwa lita mwezi Aprili 2026, kulingana na taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya…

Uzinduzi mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2026 kufanyika Kusini Pemba

Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026 unafanyika Mkoa wa Kusini Pemba, ukiwa ni mwanzo wa safari ya kuhamasisha maendeleo, uzalendo na mshikamano wa kitaifa. Uzinduzi huo utafanyika uwanja wa Gombani, Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba kuanzia…

Shemdoe awasilisha randama ya makadirio ya mapato na matumizi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amewasilisha randama ya makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2026/27. Mhe. Prof. Shemdoe…

Lukuvi atakumbukwa kwa mengi – Waziri Mkuu

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Isimani, Mheshimiwa William Lukuvi atakumbukwa kwa mengi na Watanzania kutokana na utumishi wake uliotukuka katika nafasi mbalimbali…

REA yamaliza kero ya umeme Kilombero, Ulanga shughuli za kiuchumi zaimarika

Na Stella Aron JamhuriMedia, Ifakara Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imewaondolewa kero ya umeme ya kukatikatika mara kwa mara wakazi wa mji wa Ifaraka na Ulanga baada ya Kituo cha cha Kupokea, Kupoza na Kusambaza umeme cha Ifaraka…

Serikali yakaribisha wawekezaji kutoka Uturuki

Na Joseph Mahumi, WF, Dar es Salaam Serikali ya Tanzania imewakaribisha wawekezaji kutoka Uturuki kuwekeza katika sekta za kimkakati zikiwemo miundombinu, nishati na kilimo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuharakisha maendeleo ya uchumi na kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia kati…