JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Tunahitaji uchaguzi si uchafuzi TAMISEMI

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Leo zimesalia wiki tatu kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Chama Cha Mapinduzi (CCM) wiki iliyopita wamepiga kura za maoni na kupata wagombea watakaowawakilisha katika uchaguzi huo unaofanyika Novemba…

WFT yatoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwa watumishi MNMA

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WATUMISHI wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ( MNMA) wametakiwa kuwa sehemu ya mabadiliko na kuungana na jitihada zinazofanywa na Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan…

Dk Biteko ataka umoja, ushirikiano na ubunifu taasisi za nishati

📌 Asema Rais Samia anataka Ubunifu ili kusogeza huduma bora kwa wananchi 📌 Asisitiza utendaji kazi umuangalie Mtanzania wa kawaida anayeitegemea Serikali kubadili maisha 📌 Aagiza kila Taasisi kuwa na Vigezo vya Upimaji Utendaji Kazi 📌 Ataka Watendaji waache alama…

NIRC yakabidhi mtambo wa umwagiliaji kwa vijana wanaolima vitunguu Songea ni ahadi ya Waziri Bashe

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri, Ruvuma Tume ya Taifa ya Umwagiliaji yakabidhi mtambo wa umwagiliaji wenye thamani ya Tsh 4,236,000 kwa bwana Jacob Davis na wenzake wawili wanaojishughulisha na kilimo cha umwagiliaji ambapo kwasasa wamejikita kuzalisha vitunguu katika kijiji cha Nakahengwa…

Acheni kufokea watumishi wenzenu – Simbacha

Na Lusungu Helela, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George  Simbachawene ameonesha kukerwa na  baadhi ya Wakurugenzi na Wakuu wa Taasisi za Serikali  wenye  tabia ya kuwafokea Watumishi …