JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

PURA yachochea maendeleo kupitia gesi asilia, yaongeza juhudi ya usambazaji

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeeleza kuwa sekta ya gesi asilia imekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi, pamoja na kusaidia katika jitihada za kulinda mazingira nchini. Akizungumza…

Rais Samia atembelea majeruhi wa ajali Meatu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atembelea majeruhi wa ajali ya gari waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya  Meatu mkoani Simiyu leo tarehe 17 Juni, 2025.

Kilimanjaro kuendelea kupinga ukatili dhidi ya watoto

Na Ashrack Miraji Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Bw.Kiseo Nzowa ametoa wito kwa wananchi kuendelea kushirikiana na Serikali katika kukabiliana na vitendo vya ukatili na unyanyasaji dhidi ya watoto. Nzowa alitoa kauli hiyo leo Juni wakati wa maadhimisho ya…

Gambo ataka Wenyeviti Serikali za Mitaa walipwe 300,000/- kwa mwezi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameibua hoja nzito kuhusu malipo na maslahi ya wenyeviti wa serikali za mitaa, akisema kundi hilo limekuwa likipuuzwa licha ya kuwa nguzo muhimu ya utawala wa karibu na wananchi. …

Mwenge wazindua mita za maji za bil 1.8/- Tanga

Na Mwandishi Wetu, Tanga Mwenge wa Uhuru umezindua mradi wa mita za maji za malipo ya kabla (LUMAKU) wenye thamani ya Sh bilioni 1.8 ambao ni utekelezaji wa agizo la Rais Samia la kupunguza malalamiko ya ankara kubwa za maji…