Category: MCHANGANYIKO
Madiwani Kibondo waridhia utekelezaji mradi wa umwagiliaji Lumpungu
Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Kigoma Baraza la Madiwani Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma limepitisha utiaji saini mkataba wa utekeleza, ujenzi, uendeshaji na usimamizi wa mradi wa Umwagiliaji Lumpungu wenye thamani ya zaidi ya sh. Bilioni 150 unaolenga kuongeza tija ya uzalishaji…
Polisi yapiga ‘stop’ mikusanyiko Kisutu Lissu atakapofikishwa mahakamani
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepiga marufuku mikusanyiko ya wananchi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 24, 2025, wakati Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, atakapofikishwa kwa ajili ya…
Wasira ampa majibu mfuasi CHADEMA aliyeomba CCM, Serikali imsamehe Lissu
*Amwambia chama, Rais Samia wanaamini katika maridhiano, kutii sheria *Asisitiza CCM haina visasi wala chuki na yeyote *Amwambia Lissu anatuhumiwa kuikosea Jamhuri sio CCM, hivyo watamalizana mahakamani Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amewahakikishia…
Tanzania yachangia bil.1.6/- kongamano la eLearning Africa
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameongoza harambee maalum ya wadau wa elimu nchini kuchangia Kongamano la eLearning Africa, ambapo zaidi ya Shilingi Bilioni 1.6 zimepatikana. Akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Saalaam kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu,…
RC Makonda aipongeza timu ya ‘Safari Field Challenge’
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, leo Aprili 16, 2025 amekutana na timu ya washiriki na waandaaji wa ‘Safari Field Challenge’ katika ofisi yake kwa ajili ya kusalimiana na kubadilishana mawazo kuhusu mchango wa mashindano hayo katika kukuza…
Watu 50 wapoteza maisha DR Congo
Boti ya mbao iliyokuwa na abiria wapatao 400 ilishika moto na kupinduka karibu na mji wa Mbandaka. Ajali hiyo ilitokea Kaskazini magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kwenye Mto Congo, na kuwaacha watu wasiopungua 50 wakiwa wamekufa na wengine hawajulikani…