Category: MCHANGANYIKO
Lukuvi aagwa Dodoma, aacha kumbukumbu ya uongozi imara
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Vangimembe Lukuvi, umeagwa leo katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, huku viongozi na wananchi wakimwelezea kama nguzo muhimu ya uongozi…
Serikali yachochea elimu ya ufundi, walimu 150 wapelekwa India kwa mafunzo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania imeandika ukurasa mpya katika historia ya elimu ya ufundi kwa kupeleka walimu 150 wa Amali za Kihandisi nchini India. Hatua hii kubwa ya kimkakati siyo tu safari ya mafunzo, bali ni uwekezaji…
Tanzania yapongezwa katika juhudi za mabadiliko ya mkutano nishati mkutano wa ZIMEC 2026
Kitwe , Zambia Rais wa Jamhuri ya Zambia Dkt. Haikande Hichilema amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi mbalimbali anazofanya katika kutekeleza Ajenda ya Mabadiliko ya Nishati ( Energy transition) Barani Afrika. Rais,…
Fanyeni kazi kwa bidii, ushirikiano na ubunifu kuboresha utoaji huduma kwa wananchi – Prof. Shemdoe
Na OWM – TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM– TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amewataka watumishi wa OWM- TAMISEMI kufanya kazi kwa bidii, upendo, ushirikiano, pamoja na ubunifu katika utendaji…
HESLB yatilia mkazo PPP kutanua wigo wa ufadhili wa wanafunzi
Na Dk. Reubeni Lumbagala, JamhuriMedia, Tanga Elimu ni gharama. Elimu ina mahitaji mengi ambayo yanahitaji fedha ili kuyakamilisha ili kupata utulivu wa kujifunza darasani. Serikali inasimamia na kutekeleza kikamilifu Sera ya Elimumsingi bila ada ambapo hutumia fedha nyingi kuwezesha upatikanaji…
Wanafunzi sekondari Mnazi Mmoja washauriwa kuwa mabalozi wa haki za mlaji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam TUME ya Ushindani (FCC) leo Machi 26, 2026 imetoa elimu kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mnazi Mmoja iliyopo jijini Dar es Salaam kuhusu kumlinda mlaji, ikiwemo haki na wajibu wa mlaji pamoja…





