Category: MCHANGANYIKO
Serikali ya Tanzania, China zakubaliana kuboresha huduma ya maji mji Dodoma
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Maji imeingia makubaliano ya ushirikiano na Kampuni ya Shanxi ya Utafiti wa Madini juu ya kufanya utafiti wa kihaidrojia katika rasilimali maji chini ya ardhi utakaofanyika katika vijiji takribani 10…
NIRC, TRC, Benki ya Dunia kuanza ujenzi mabwawa sita kukabiliana na mafuriko na kulinda mradi SGR
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma TUME ya Taifa ya Umwagiliaji kwa kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania (TRC) chini ya ufadhili wa Benki ya Dunia, inaendelea na utekelezaji wa hatua za awali za upembuzi yakinifu wa mabwawa sita ya umwagiliaji…
Serikali kuchukua hatua kali kwa wanaoiba mara baada ya jali
NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo amesema serikali itaendelea kuchukua hatua kali kwa watakaobainika kuiba mali baada ya ajali kutokea. Akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Jimbo la Makete, Festo Sanga (CCM) aliyeuliza swali kwa…
RC Chalamila siku ya mtoto wa Afrika itukumbushe wajibu wetu katika malezi ya mtoto
-Aitaka jamii kuacha kushabikia vitendo vinavyodharirisha utu wa binadamu -Asema mtoto anasitahili kulindwa na kupatiwa haki yake -Atoa rai kwa jamii kuacha tabia za kibaguzi kwa watoto wenye ulemavu na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa…
TARURA ongezeni umakini kwa wakandarasi : Mhandisi Mativila
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Naibu Katibu Mkuu Wizara ya OR-TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu Mhandisi. Rogatus Mativila ameitaka Wakala ya barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) mkoa wa Morogoro kuongeza umakini kwa wakandarasi waotekeleza miradi ya Ujenzi wa barabara na madaraja…
Wadau SHYCOM kuunga juhudi za Serikali katika kuinua elimu kupitia michezo
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali za kuinua kiwango cha Elimu nchini,Umoja wa wanafunzi waliosoma Chuo cha Ualimu Shinyanga (SHYCOM) umezindua Mbio za Shycom Alumni Marathon zitakazo jumuisha kilometa 5, 10 na 21 ambazo zitaenda kufanyika…