Category: MCHANGANYIKO
CPA Makalla ataja sababu za CCM kushinda kwa kishindo
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema kuwa, chama hicho kimeshinda kwa kishindo kutokana na maandalizi waliyoyafanya pamoja na kuzitumia 4R za Rais wa Jamhuri…
Rais aomboleza kifo cha Ndunguile wakati wa kikao kazi jijini Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na viongozi wengine kwa ajili ya kumuombea aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika Marehemu Dkt. Faustine Ndugulile aliyefariki dunia nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu, wakati wa kikao kazi kilichofanyika Ikulu ndogo…
Usalama wa bahari una umuhimu mkubwa kwa uchumi wa dunia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIBU Mkuu wa Shirika la Bahari Duniani (IMO), Antonio Dominguez amesema usalama wa baharini una umuhimu mkubwa kwa uchumi wa Dunia kwani unabeba ustawi wa mazingira na jamii kote ulimwenguni. Kauli hiyo ameitoa…
Uchaguzi Serikali za Mtaa, CCM yashinda kwa asilimia 99.1
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tamisemi, Mohamed Mchengerwa ametangaza matokeo ya jumla ya uchaguzi wa Serikali za mitaa, amesmea kuwa katika nafasi ya uenyekiti wa kijiji Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza kwa asilimia 99.01 kikifuatiwa na Chadema. Zoezi la uandikishaji…
Mahakama yamwachia huru aliyekuwa mkuu wa Mkoa Simiyu
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza, imemwachia huru aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu, Dkt. Yahaya Ismail Nawanda baada ya kukutwa hana hatia. ilidaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alimwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha St. Augustine jiji Mwanza….
Waziri Kikwete: Fursa za ajira kwa vijana nje ya nchi kipaumbele cha Serikali ya Rais Samia
Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia,Dar es salaam Serikali imesema itaendelea inahakikisha inaweka mikakati madhubuti ya kuwawezesha watanzania zaidi ya 1000 kupata fursa ya ajira nje ya nchi Akizungumza jijini Dar es Salaam Novemba 28, 2024 Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu…





