Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma
JamhuriComments Off on Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma leo tarehe 16 Januari, 2025.