JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

‘Sera ziguse wananchi uchaguzi mitaa’

Wagombea wanawake wa nafasi mbalimbali za uongozi katika Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara, kipindi hiki cha kampeni wametakiwa kujikita kunadi sera zinazowagusa zaidi wananchi, namna ya kuzitatua na kushughulikia kero za sehemu husika Akizungumza wakati wa mafunzo ya kuwajengea…

Askofu Mameo aisifu Afrika kutoa marais wanawake

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Morogoro , Jacob Ole Mameo  amewataka wanawake wa Umoja wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) kutumia nguvu waliyonayo kukemea wanaobeza jitihada zinazofanywa na baadhi ya wanawake walio katika nyadhifa…

Wanawake jamii za asili wakutana Arusha kujadili changamoto zao

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Arusha Wanawake Jamii za Asili Nchini wanakutana jiji Arusha kujadili changamoto zao ikiwepo athari za mabadiliko ya Tabianchi. Wanawake hao kutoka jamii za wahadzabe, Wamasai, wabarbaigi,wadatoga na waakei wanasema mabadiliko ya tabia nchi yameleta ukame katika maeneo…

Tanzania, China zasisitiza kukuza ushirikiano

Serikali ya Tanzania na China zimesisitiza kuongeza ushirikiano wa kimaendeleo kupitia ziara mbalimbali zinazofanywa na viongozi wa juu wa pande zote mbili ili kuimarisha ushirikiano wa kihistoria na kidiplomasia ulioasisiwa na waasisi wa mataifa hayo, Baba wa Taifa Hayati, Mwl….