JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

TLS tutashirikiana na Serikali, harakati zikae pembeni – Boniface Mwambukusi

Kauli ya Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, inayoeleza umuhimu wa ushirikiano na serikali katika utoaji wa huduma za msaada wa kisheria, inathibitisha nafasi kubwa ya serikali katika kuhakikisha haki inafikiwa na raia wote. Serikali, chini ya…

Hodari wa uchumi wa Afrika- Rais Samia Suluhu Hassan

🇹🇿 Tanzania:Inavyoongoza Katika Kupambana na Umaskini Afrika! Tunapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Umaskini (Oktoba 17), Tanzania inajitokeza kuwa kielelezo cha matumaini na maendeleo. Kwa mujibu wa takwimu za Afrobarometer, asilimia 51 ya Watanzania wanaamini kuwa serikali yao inafanya kazi…

Asasi za kiafya zaadhimisha mwezi wa saratani

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi isiyo ya kiserikali ya Shujaa Cancer Foundation kwa kushirikiana na ubalozi wa Sweden nchini pamoja na Wizara ya Afya kwa pamoja wameungana kuadhimisha mwezi wa uhamasishwaji wa saratani ya matiti. Maadhimisho hayo…

Ajali yaua watu 14 katika daraja la Kikafu Kilimanjaro

Watu 14 wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa katika ajali mbaya iliyotokea usiku wa kuamkia leo, katika daraja la Kikafu. Ajali hiyo ilihusisha lori na basi dogo la kubeba abiria (Coaster) lililokuwa likielekea Arusha kutoka Moshi. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,…

RC Kunenge – Tuitumie siku moja iliyosalia kujiandikisha

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Alhaj Abubakar Kunenge, ameeleza zoezi la uandikishaji kwenye daftari la wapiga kura mkoani humo linaendelea vizuri, zoezi ambalo lilianza rasmi oktoba 11 na litakamilika Oktoba 20 mwaka huu. Aidha amewataka…

Rais Mwinyi azishauri taasisi za elimu ya juu kuanzisha kozi zinazochangia maendeleo nchini

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amezishauri Taasisi za Elimu ya juu ziliopo nchini kuanzisha Kozi muhimu zenye uhitaji na uhaba wa Wataalamu zitakazochangia maendeleo ya nchi. Rais Dk. Mwinyi…