JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

‘Miradi iliyobainika kuwa na dosari mbio za mwenge itakabidhiwa kwa Rais Samia’

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, amesema taarifa ya miradi iliyobainika kuwa na dosari katika mbio za Mwenge wa Uhuru 2024, itakabidhiwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa hatua zaidi. Pia…

Israel yagundua makombora 40 yaliyorushwa na Lebanon

Jeshi la Israel pia limesema kwamba limegundua makombora mapya 40 ambayo yalirushwa kutoka Lebanon. Jeshi la Israel limesema Alhamisi kuwa lilifanya mashambulizi ya anga ambayo yaliwaua makamanda wawili wa Hezbollah ambao walihusika katika mashambulizi ya makombora yaliyolenga eneo la kaskazini…

Milioni 1.2 kuandikishwa Daftari la Wapiga Kura Pwani – RC Kunenge

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkoa wa Pwani unatarajia kuandikisha zaidi ya watu milioni 1.2 kwenye Daftari la Wapiga Kura, zoezi ambalo limeanza rasmi Oktoba 11 na linatarajiwa kukamilika Oktoba 20 mwaka huu. Kwa mujibu wa mkoa huo ,zoezi hilo…