Category: MCHANGANYIKO
Kapinga : Kazi ya kupeleka umeme kwenye migodi midogo inaendelea
๐ Wachimbaji wa chumvi pia wafikiwa ๐ Wananchi Kibiti wampongeza Rais Samia kwa mradi wa umeme wa zaidi ya shilingi Bilioni 3.8. ๐ Kituo cha umeme Uhuru wilayani Urambo chakamilika Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia…





