Category: MCHANGANYIKO
Dk Kijaji: Tanzania yazuia tani 216 za kemikali hatari kwa tabaka la ozoni
Na Mwandishi Wetu, JamhurMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema Tanzania imefanikiwa kuzuia tani 216 sawa na asilimia 86 ya uzalishaji wa kemikali hatari kwa tabaka la…
Mabweni ya kuchukua wanafunzi 12,000 kujengwa kwa ubia Dar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE) kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia wa Sekta za Umma na Binafsi (PPP) wanatatarajia kujenga mabweni ya wanafunzi kwa ubia utakaogharimu Sh bilioni 20.7. Hayo yalisemwa mwishoni…
Serikali kutumia bilioni 830 kukabiliana na athari za el nino
Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amesema Serikali imetoa zaidi ya shilingi Bilioni 830 kwa ajili ya kujenga upya na kwa ubora barabara na madaraja yalioathiriwa na mvua za El -Nino na kimbunga Hidaya nchini kote….
Padri Kitima : Ninyi nyote ni ndugu, mkaishi kwa upendo
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, leo Jumapili Septemba 15, 2024, kwenye kilele cha Kongamano la 5 la Ekaristi Takatifu Kitaifa, amewatambulisha kwa waumini viongozi wa kisiasa akiwemo Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi,…
Serikali kujenga upya daraja la Mbwemkuru , Nakiu Lindi
Na Mwandishi Wetu, JaamhuriMedia, Lindia Serikali imesema inatarajia kujenga daraja lenye urefu wa mita 100 eneo la Mto Mbwemkuru lililopo mpakani mwa wilaya ya Ruangwa na Kilwa pamoja na daraja la Nakiu (mita 70), Nmkoani Lindi katika mwaka huu wa fedha 2024/2025…





