Category: MCHANGANYIKO
Mbwa anayefugwa kwa ulinzi aishambulia familia na kusababisha madhara
Usiku wa kuamkia Januari 8, 2024 majira ya saa nne usiku familia ya Nicholaus Kunju ilishambuliwa na mbwa na kuisababishia madhara kwenye sehemu mbalimbali za miili yao. Kwa mujibu wa mtoa taarifa walioshambuliwa ni mke wake pamoja na watoto. Tukio…
Ulega amsimamisha kazi Afisa Mfawidhi Kigoma
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amemuagiza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Agnes Meena kumsimamisha kazi Afisa Mfawidhi anayeshughulikia ubora wa samaki kituo cha Kigoma, Bw. Frank Kabitina kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma. Waziri…
Dk Biteko ashuhudia utiaji saini mikataba miwili ya kihistoria ya gesi asilia
📌 Ni wa mauziano ya Gesi Asilia na ujenzi wa miundombinu midogo ya LNG 📌 Kuwezesha upatikanaji wa Gesi Asilia katika maeneo yote nchini 📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafuatilia kwa karibu miradi ya Nishati 📌 Nchi kuwa na nishati…
Idadi ya wagonjwa wa kipindupindu Mwanza yaongezeka , wananchi watakiwa kuchukua tahadhari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Wananchi mkoani Mwanza wametakiwa kuchukua tahadhari mbalimbali ikiwemo kunawa mikono kwa maji tiririka,kuacha uuzaji wa vyakula holela katika maeneo yasiyo rasmi hatua itakayosaidia kijikinga na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu. Ra hiyo ilitolewa Jana Jumanne…
Wanaume watakiwa kuacha kuwaoa wanafunzi badala yake wawaache wavae mavazi mawili
Na Suzy Butondo, JamhuriMedia, Shinyanga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme amewataka wanaume kuacha kuwaowa wanafunzi wa kike badala yake wawaache wasome na wavae magauni mawili ambayo ni sare za shule na joho la kuhitimu masomo . Pia wazazi…