Category: MCHANGANYIKO
Wabunge wapitisha bajeti Wizara ya Afya, kuhakikisha mifumo hospitali kusomana
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wabunge wamepitisha bajeti ya Wizara ya Afya yenye makadirio ya Sh 1,618,191,235,000.00, ili kuweza kutekeleza malengo na vipaumbele iliyojiwekea kwa mwaka 2025/26. Jana Waziri wa Afya Jenista Mhagama, aliwasilisha bungeni hotuba ya makadirio ya mapato…
Aliyefungwa arejea na mgogoro mpya
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Licha ya kuhukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kosa la kutishia kuua kwa panga, Albert Midimito, maarufu kwa jina la Chemli, amerudi kijijini na kuibua mgogoro mpya wa ardhi unaohusisha familia yake, huku mjane…
Padri Kitima aongoza misa ya shukrani baada ya kutoka hospitalini
Na Pascal Mwanache, TEC Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, ameongoza Misa Takatifu ya shukrani kwa mara ya kwanza leo, Juni 3, 2025, baada ya kutoka hospitalini alikokuwa amelazwa kwa takribani mwezi mmoja…
Vitongoji 284 Arumeru Mashariki vyafikia na umeme
📌 Ni kati ya Vitongoji 330 vya Jimbo la Arumeru Mashariki. 📌Kapinga asema upelekaji umeme unafanyika kwa awamu kulingana na upatikanaji wa fedha Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imevifikishia huduma…
Bodi ya Wadhamini TANAPA yaja na ‘Utalii wa Michezo’
Na Joe Beda, JanhuriMedia, Mara Katika harakati za kuongeza idadi ya watalii na kipata cha taifa, Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) imeelekeza uongozi wa shirika kutekeleza mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Gofu. Uwanja kwa…
Wadau wa kilimo mseto waishauri Serikali kupitia wizara tano kutenga bajeti ya kilimo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma WADAU wa kilimo mseto Tanzania Bara, wameishauri serikali kupitia wizara tano mtambuka, kutenga bajeti kwa ajili ya kilimo ambacho kinaonesha kuwa na matokeo chanya kwa wakulima wadogo. Ushauri huo umetolewa na wadau hao waliokutana kwa…





