Category: MCHANGANYIKO
Dk Biteko asema mgombea mwenza ni chaguo sahihi na mwalimu wa wengi
📌 Asema Dkt. Nchimbi ni mtu mwema anayejua shida za watu 📌 Mamia wajitokeza Kampeni za CCM Katoro 📌 Asema Katoro hawana mbambamba, awaomba Oktoba kuchagua wagombea wa CCM Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Bukombe, Ndugu Doto Mashaka…
Polisi yamsaka mwanamke aliyemfanyia ukatili mtoto
Jeshi la Polisi limeona picha mjongeo inayosambaa katika mitandao ya kijamii akionekana mwanamke mmoja akimhamasisha na kumnywesha pombe mtoto mdogo jambo ambalo ni ukatili kwa mtoto na ni kinyume na sheria za nchi. Sheria hizo ni pamoja na Sheria ya…
Mahakama Uvinza yamtia hatiani mtendaji kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Uvinza, Mheshimiwa Misana Majura, mnamo Septemba 4, 2025, alitoa hukumu katika shauri la jinai namba 4719/2025, ambapo Jamhuri ilimshtaki Bw. Jafari Hamisi Fadhili kwa makosa mawili ya kuomba na kupokea rushwa kinyume na…
Mganga atuhumiwa kumuua mteja na kumfukia kwenye tanuri la mkaa Mlandizi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Pwani Jeshi la Polisi mkoani Pwani linamshikilia kijana mmoja aitwaye Ally Juma Shaban (29), mganga wa tiba asilia na mkazi wa Makazi Mapya, Mlandizi, kwa tuhuma za mauaji ya Juma Yoram Nyambihira (58), mkazi wa eneo hilo…
Polisi anayedaiwa kubaka mwanafunzi afukuzwa kazi
Na Abdallah Amiri, JamhuriMedia, Igunga Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora,limemfukuza kazi askari wake Koplo Gebasa G. 8265. Askari huyo alikuwa akifanya kazi kituo kidogo cha Polisi Kata ya Sungwizi Tarafa ya Simbo Wilaya ya Igunga. Kamanda wa Polisi Mkoa…





