JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Diwani Athumani Msuya atenguliwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya, aliyemteua tarehe 03 Januari, 2023 kuwa Katibu Mkuu Ikulu. Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu. Bw….

Viongozi wa vyama siasa leo kujadili mwelekeo wa siasa nchini

Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa wamewasilia katika Ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuitikia mwito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan. Baadhi ya viongozi waliowasili ni pamoja na…

Watuhumiwa 377 wa dawa za kulevya wahukumiwa, nyumba zataifishwa

Jeshi la Polisi nchini kupitia kitengo cha Kuzuia na Kupambana na dawa za kulevya (Anti Drug Unit) “ADU” kwa kushirikiana na Polisi mikoa yote Tanzania Bara na Visiwani limefanya operesheni, doria na misako iliyofanyika katika maeneo mbalimbali hapa nchini nakufanikiwa…

Waliovamia eneo la hifadhi ya Nanyumbu wapangwa upya

Serikali imeamua kuwapanga upya wananchi wa vijiji viwili vya Mbagala Mbuyuni na Marumba wilayani Nanyumbu mkoani Mtwara ili kutatua migogoro ya matumizi ya ardhi na kuleta usalama kwenye maeneo hayo. Akizungumza na wananchi wa kitongoji cha Wanika kata ya Mkonona…

Binti akata na kuziondoa nyeti za baba yake

Mwanamke anayedaiwa kuwa na matatizo ya afya ya akili anayefahamika kwa jina Grace Kihumba(30) mkazi wa Wang’ing’ombe mkoani Njombe anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumshambulia baba yake mdogo Tiles Kihumbu (60) akiwa usingizini na kisha kuzikata sehemu…