JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Chatanda ashuhudia utiaji saini wa bilioni 13.3 kuboresha miundombinu Rufiji, Mchengerwa azindua Ligi

Na John Mapepele Mwenyekiti wa UWT Taifa, Mhe. Mary Pius Chatanda ameshuhudia utiaji saini wa mikataba mitano ya bilioni 13.3 zilizotolewa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ili kuboresha miundombinu ya barabara na madaraja wilayani Rufiji, huku Mchengerwa akizindua rasmi…

Baraza la Habari Kenya lavutiwa na MAIPAC kushirikiana mafunzo kwa wanahabari

Mwandishi wetu, [email protected] Baraza la Habari la Kenya(KMC),limetembelea Ofisi za Taasisi ya wanahabari ya usaidizi wa jamii za pembezoni(MAIPAC) jijini Arusha na kuvutiwa na kazi za Taasisi hiyo na kuahidi kushirikiana kuwajengea uwezo wanahabari juu ya masuala ya mabadiliko ya…