JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Rostam Aziz amshutumu vikali Polepole, asema hana mchango wowote CCM

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz, ameibuka hadharani na kumshutumu vikali aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba Hamfrey Polepole ambaye hivi karibuni alitangaza kujiuzulu wadhifa wake wa kidiplomasia na kuwa mkosoaji mkubwa wa Serikali…

ELAF yaitaka Serikali kuanzisha kitengo maalum cha uchunguzi wa Watu wanaopotea

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam TAASISI ya Everlasting Legal Aid Foundation (ELAF) imetoa wito kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzisha Kitengo Maalum cha Kitaifa cha Uchunguzi wa Watu Wanaopotea, kufuatia kuongezeka kwa matukio ya watu…

INEC yawasihi wazalishaji wa maudhui mtandaoni kusambaza taarifa sahihi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam  Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Jaji Mstaafu Jacobs Mwambegele, amewasihi wazalishaji wa maudhui mtandaoni kutumia majukwaa yao kuhamasisha ushiriki wa wananchi katika kampeni na upigaji kura kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba…

NMB yakutana na wafanyabiashara wakubwa jijini Mwanza

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Benki ya NMB imeendelea kuonesha dhamira ya dhati katika kuwa mshirika imara wa wafanyabiashara nchini, baada ya kukutana na wafanyabiashara wakubwa 120 wa Mkoa wa Mwanza katika hafla ya chakula cha usiku iliyofanyika Agosti 1,…

Waandaji wa maudhui mtandaoni washauriwa kuzingatia sheria za uchaguzi

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka waandaji wa maudhui mtandaoni kusoma nyaraka mbalimbali na kufuata maelekezo ili ushiriki wao katika mchakato wa uchaguzi uweze kufanyika kwa kuzingatia masharti na matakwa ya sheria…