JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mitaji changamoto ya vijana kwenye kilimo – Waziri Bashe

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakati Serikali inapanga mikakati ya kuwasadia vijana katika kilimo, imeonekana changamoto kubwa ya vijana kuingia kwenye kilimo ni mitaji. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe alipokuwa akizungumza na Waandishi wa…

PPRA yataja siri ya kupata tuzo ya mshindi wa kwanza katika kipengele cha mamlaka za udhibiti

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MENEJA Kanda ya Pwani kutoka Mamlaka ya Kudhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA), Vicky Mollel amesema kuwa mamlaka hiyo ilitarajia ushindi kutokana na nguvu kubwa waliyoiweka katika kuhamasisha Umma. Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na…

UDOM yaibuka mshindi wa kwanza kipengele cha taasisi za elimu ya juu katika Sabasaba

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM), kimepata tuzo ya mshindi wa kwanza katika kipengele cha Taasisi za elimu ya juu katika maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (DITF) maarufu kama…

Katavi kuwa kanda ya ununuzi wa mazao

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia  Hassan ameutangaza mkoa wa Katavi kuwa kanda maalum ya ununuzi wa mazao na uhifadhi wa nafaka ya chakula. Ametoa kauli mara baada ya kuzindua vihenge vya kisasa, na ghala za kuhifadhia…

NIRC yawataka wakandarasi kusaidia jamii maeneo yenye miradi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi MKURUGENZI Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliji (NIRC), Raymond Mndolwa, amewataka Wakandarasi wanaojenga miundombinu ya umwagiliaji kuhakikisha wanasaidia jamii hususani maeneo yenye miradi. Mndolwa amesema hayo katika ziara ya ukaguzi na ufuatiliaji wa ujenzi wa…