JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Daraja la mto Pangani ni kichocheo cha uchumi – Dk Mwigulu

*Asema ameridhishwa na kiwango cha uwekezaji kilichofanywa na Rais Dkt. Samia kwenye daraja hilo_ WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa mradi wa ujenzi wa daraja la Pangani na barabara unganishi utasaidia kukuza shughuli za kiuchumi kwa wananchi wa maeneo…

Waziri Mkuu aridhishwa ujenzi daraja la Pangani

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ameridhishwa na kasi ya ujenzi wadaraja la Pangani lenye urefu wa mita 525 ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 64. Akizungumza alipokagua daraja hilo katika ziara yake inayoendelea mkoani Tanga…

JAB yajipanga kuendelea kutoa mafunzo kwa waandishi, wamiliki wa vyombo vya habari

Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imejipanga kuendelea kutoa mafunzo kwa waandishi wa habari pamoja na wamiliki wa vyombo vya habari ili kuongeza uelewa wa sheria, maadili ya taaluma na umuhimu wa ithibati katika utendaji kazi wa kila…

Simanjiro yapitisha bilioni 45/- mpango wa bajeti 2026/2027

Na Mwandishi wetu, Simanjiro MADIWANI wa halmashauri ya wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, wamepitisha kiasi cha 45,136,269,016.60 kwa ajili ya rasimu wa mpango wa bajeti kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027.  Afisa mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Happy…

RITA yatoa mafunzo ya usimamizi wa mirathi, utatuzi wa migogoro kwa viongozi, wazee wa kimila

Na Mwandishi wetu, Katavi Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) imeendelea kutoa mafunzo kwa Viongozi wa Serikali wakiwemo Wakuu wa Wilaya, Maafisa Tawala, Maafisa Tarafa, vitongoji pamoja na Wazee wa Kimila kutoka mikoa sita ili waweze kusimamia vizuri migogoro…