JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Tume ya Madini yajipanga upya kuiboresha sekta ya madini nchini

Na MwandishinWetu, JamhuriMedia, Tanga Tume ya Madini inaendelea na kikao kazi cha menejimenti jijini Tanga chenye lengo la kutathmini utekelezaji wa majukumu yake na kuweka mikakati mipya ya kuimarisha Sekta ya Madini nchini. Kikao hicho kinahusisha Makamishna wa Tume ya…

Dalili za uwepo wa gesi asilia zaonekana katika kitalu cha Lindi – Mtwara

๐Ÿ“ Utafiti wa kina unaendelea katika Kitalu cha Lindiโ€“Mtwara ๐Ÿ“ Dkt. Mataragio akagua maendeleo ya mradi, aagiza ukamilike kwa wakati ๐Ÿ“ Akagua pia mradi wa kuongeza uzalishaji wa gesi katika kitalu cha Mnazi Bay ๐Ÿ“ RC Mtwara asema Gesi Asilia…

WFP: Watu milioni 14 wako hatarini kukumbwa na njaa

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limetahadharisha kuwa takriban watu milioni 14 wako hatarini kukumbwa na njaa kutokana na kupunguzwa kwa ufadhili. WFP imesema watu hao wanapatikana katika mataifa ya Afghanistan, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Haiti, Somalia, Sudan…

Dk Mpango : Mwalimu Nyerere ni kielelezo na alama isiyofutika

Mpango azima Mwenge na Kuzindua Kitabu chake Na Ruja Masewa, JamhuriMedia, Mbeya Makamu wa Rais Dk. Philipo Mpango amezima rasmi Mwenge wa Uhuru na Kuzindua Kitabu chake cha Historia ya Miaka 61 ya Mbio hizo yaliyofanyika mkoani hapa jana Oktoba…

Wananchi Mkalama washangilia miradi ya uchimbaji visima vya umwaggiliaji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Wakazi wa Kijiji cha Miganga wilayani Mkalama, mkoani Singida, wameishukuru Serikali kwa neema ya miradi ya uchimbaji wa visima vya Umwagiliaji na kuahidi kulinda miundombinu hiyo kwa maslahi ya vizazi vijavyo. Wamesema kwa sasa wana…

Wanne mbaroni kuendesha televisheni mtandao bila leseni

Na Mwandishi wlWetu,JamhuriMedia,Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam kwa kushirikiana na Mamlakazingine za kisheria 3 ,Oktoba hadi 10 , 2025 limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne kwa tuhuma za kuendesha โ€œTelevisheni mtandaoโ€ bila kuwa na leseni. Waliokamatwa…