Category: MCHANGANYIKO
TPA yatoa ripoti ya mafanikio ya bandari tangu kuingia kwa Serikali ya Awamu ya Sita madarakani
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema tangu Serikali ya awamu ya Sita iingie madarakani,mapato ya mamlaka hiyo yameongezeka kutoka shilingi trilion 1.1 Mwaka wa Fedha 2021/22 hadi shilingi trilion 1.475 Mwaka wa Fedha 2023/24….
Waziri wa New Zealand ajiuzulu
Waziri wa biashara wa New Zealand Andrew Bayly amejiuzulu kama waziri wa serikali baada ya ‘kuigusa’ sehemu ya juu ya mkono wa mfanyakazi wake wiki iliyopita, katika kile alichoelezea kama tabia ya ‘kupindukia’. Bayly alisema siku ya Jumatatu kwamba “anasikitika…
Shule binafsi za awali, msingi 101 zanufaika na mradi wa Opportunity International
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Dar Ofisa Elimu Taaluma wa Mkoa wa Dar es Salaam, Eva Mosha, ametoa rai kwa wamiliki na walimu wa shule binafsi za awali na msingi kuimarisha ufanisi wa ufundishaji na kuboresha ubora wa elimu, ili kuinua…
ETDCO yaibuka kidedea tuzo za ZICA
Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme nchini (ETDCO) imebuka mshindi katika kipengele cha Mkandarasi Bora wa Ujenzi wa Miundombinu ya Umeme, katika Tuzo za Zanzibar International Construction Awards (ZICA) zilizofanyika Februari 22, 2025,…





