JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Waziri awashauri wananchi Jimbo la Jang’ombe kutunza miundombinu ya barabara

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria Utumishi na Utawala Bora Dk Haruon Ali Suleiman wananchi wa Jimbo la Jang’ombe kuitunza miundombinu ya barabara inayojengwa ili idumu kwa muda mrefu. “Miundombinu yetu hii tuitunze kwa maslahi ya Nchi yetu…

Mwalimu mbaroni kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Paul Joseph (26), mwalimu wakujitolea katika Shule ya Msingi Nyang’omango iliyoko Kata ya Ntende Wilaya ya Misungwi mkoani hapa kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wake. Hayo yamebainishwa Desemba 30,…

Waziri Simbachawene atoa wito kwa Watanzania kujiandikisha Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

Na. Lusungu Helela – Mpwapwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe.George Simbachawene ametoa wito kwa Watanzania wenye sifa za kujiandikisha katika Uboreshaji wa Daftari la…

Waziri Mkuu amwakilisha Rais kwenye mazishi ya Jaji Mwanaisha Kwariko

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka udongo kwenye kaburi la Mheshimiwa Mwanaisha Kwariko ambaye alikuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mazishi yaliyofanyika Kondoa, mkoani Dodoma, Desemba 30, 2024 (Picha na Ofisi ya…

Baraza la Mitihani Zanzibar latoa taarifa ya matokeo darasa la saba 2024

Na Sabiha Khamis,  Maelezo  Mkurugenzi Mtendaji Baraza la Mitihani la Zanzibar Dkt. Rashid Abdul-aziz Mukki amesema kwa mujibu wa matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba ya mwaka 2024 yanaonesha kuwa ufaulu umepanda kwa asilima 1.66 kutoka asilimia 95.00 ya…